Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Unataka kusema kuwa ndiye aloyemshauri Emmasson Mnangagwa kumtimua Mugabe kwa intelligemsia kali sana namna ile?? Then if the case is so, Magufuli ajisalimishe mapema.
Mmoja kashika ugali mwingine mboga,tule pop cone vita vya panzi
 
Magu hajui wafanyeje dhidi ya Membe

Mshauri wa kwanza anasema wakimuacha atawasumbua, na mshauri wa pili anasema wakimtimua atawasumbua pia [emoji23][emoji23][emoji38]

Jiwe yeye kashindwa afanyeje zaidi anaona manyotanyota tu [emoji780][emoji782][emoji844][emoji780][emoji782]

Wazo la mwisho nadhani upara atapendekeza risasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…