Special Thread: Usiku wa mahaba

Special Thread: Usiku wa mahaba

Hivi na wewe unakuwaga na genye?
Mi nakuonaga umezidi ukauzu sana
Au genye hazina bingwa?

sipatag najitahid kutengeneza mazingira nizipate
si unajua kabla ujapata gari uanasema nimepata gari
 
sipatag najitahid kutengeneza mazingira nizipate
si unajua kabla ujapata gari uanasema nimepata gari

Sasa ongea kimya kimya wife wangu charty asisikie njoo kule nikugenyeshe
 
Habari zenu,

Natambua na kuheshimu ndoa za watu humu jamvini, najuwa kunawale walioweka ndani kama mimi na kuna wale walio kwenye uchumba. Hapa itakuwa ni sehemu sahihi kwa watu kupeana ufundi na manjonjo ya kimahaba.

Lakini ni ifikapo usiku kuanzia saa moja na kuendelea. Mke wangu charty najuwa upo safarini huko USA lakini hapa ndipo sehemu pekee unaweza kunipata na tukaliwazana.

Onyo: Ni marufuku kuongea kimahaba na mke/mme wa mtu, mchumba inaruhusiwa hata kutongoza sio kosa.

Karibuni watu wa mahaba niuwe

Kumbe na sisi masingo tunaruhusiwa kutongoza. vp tukitongoza mke wa mtu hapa?
 
Mimi ni kijana wa miaka 30 natafuta mchumba humu ndani awe mkristo.na tabia njema pia awe na umri usiozidi miaka 24.mimi ni lecture wa chuo kimoja hapa tz.pia ni muhaya naejua mapenzi hususani cta kwa cta c mnajua mambo ya katerero ni hayo tu.mwenye cfa anipm.asanteni

Tafuta mwanachuo unayempenda umuoe mkuu.
 
Hebu jifunze suprise HUG unamkumbatia kwa mgongoni unazpisishia mikono katikati ya mikono yake then kwa mbele ipandishe na viganja vitouch maziwa hata kama ni me , then unaleta lipsi kwa shavu unaanza na mwaaa then ita jina mf: mamndenyi, mo11, miss chaga, preta, viol, tarime one, nifah mpeenz, darrrling, mme/mke wangu nakupenda sana umpe sekunde 38 hiv usiongee chochote then uone response

Duh...My first lesson hahaha ngoja nijaribu kumwitaaaa. dah sijui nani tena
 
Mimi ni kijana wa miaka 30 natafuta mchumba humu ndani awe mkristo.na tabia njema pia awe na umri usiozidi miaka 24.mimi ni lecture wa chuo kimoja hapa tz.pia ni muhaya naejua mapenzi hususani cta kwa cta c mnajua mambo ya katerero ni hayo tu.mwenye cfa anipm.asanteni

Hivi mambo ya gulioni katerero kwenye godoro simpaka uweke water proof? Huwa najiuliza sana sipati picha.
 
Halafu nina kesi na wewe kule JLW unaendaga kufanya nini?
Kama ni genye mbona nakusugua kila siku?
Katerero nakupiga mpaka unatowa chozi
Au unataka nikushitaki kwa wazeee
nisamehe bure kipenzi kuna mtu atakua ame..hack account yangu..kwani jlw ni wapii mbona sipajui my pumkin...bae nobody bou u!!!my kibo 10 punguza hasira swr
 
nisamehe bure kipenzi kuna mtu atakua ame..hack account yangu..kwani jlw ni wapii mbona sipajui my pumkin...bae nobody bou u!!!my kibo 10 punguza hasira swr
masai dada Ameniambia hukutana na wewe mara kwa mara huko
Sasa ngoja aje hapa kama ni umbea ulikuwa unamsumbua na kunitamani baada ya kujuwa mimi ni fundi wako
Tena kaniambia ukiwa kule JLW unakumbatia kumbatia kila mtu mpaka malodi lofa kama grafani11
 
Last edited by a moderator:

hahahab umemjuaje GRAfan11 yaani utakuwa member usietoa michango chamani hahahha

yaani kwa kumfaham tu huyo kwamba yuko kule na wewe ni member ambae sio mtiifu
 
Last edited by a moderator:
masai dada Ameniambia hukutana na wewe mara kwa mara huko
Sasa ngoja aje hapa kama ni umbea ulikuwa unamsumbua na kunitamani baada ya kujuwa mimi ni fundi wako
Tena kaniambia ukiwa kule JLW unakumbatia kumbatia kila mtu mpaka malodi lofa kama grafani11

kaongo sana haka ka binti...masai dada nikalie pembeni usije nivulia ndoa...mwenzio ndoa tamu eh...mume mtamu we bintii unikome sip jlw...hahah
 
kaongo sana haka ka binti...masai dada nikalie pembeni usije nivulia ndoa...mwenzio ndoa tamu eh...mume mtamu we bintii unikome sip jlw...hahah

hahah mwenzio anamjua anapotaikana GRAfan11
 
Last edited by a moderator:
chuma cha reli kumbe na huku unafikaga, mbona hujafunguka sasa?

kada hii ya maigizo hainaga mwenyewe ila mie mwenzio yalinishinda nmebaki natoa macho tu,,,,,,,maana mtu anasikia utamu eti anaanza kulia utafikili kapigwa vile mie natoa nduki uchuro peleka huko huko....

njooo kichochoroni kwetu nikunongoneze bonge la surplise,,,,,,,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom