usinizungushe bana ninavyokupenda sio vizuri kunizungusha. love you my diva
mimi ni kijana wa miaka 30 natafuta mchumba humu ndani awe mkristo.na tabia njema pia awe na umri usiozidi miaka 24.mimi ni lecture wa chuo kimoja hapa tz.pia ni muhaya naejua mapenzi hususani cta kwa cta c mnajua mambo ya katerero ni hayo tu.mwenye cfa anipm.asanteni
Kaka islets hujambo mkuu, pole na majukumu ya ujenzi wa taifa
kuongea maneno ya mahaba hairuhusiwi lakinini kutongoza ruhsa
Were in lecture au lecturer????
Niko hapa kwenye usiku wa mahaba na thread ya mahaba. Anayejua mahaba atujuze mama na baba wa mahaba ni nani?
atoto nina mahaba ya kweli na ya dhati siwezi kukata tamaa. naamini siku moja utakuwa wa kwangu.Mweeeeh kweli huu usiku wa mahaba, mi nilijuaga ushajikatia tamaa kumbe bado umo tu!!
Fanya miamala kwanza nikuone kama unafiti
nipe namba ya mpesa na airtel money nifanye usiku huu huu
We hizo namba si unazo siku nyongi tu! Mbona hata hujishughulishi!
zile hazipatikani sijui umebadilisha. ebu tena mpenzi
0544322789000865$#2236 haya fanya fastaaa.
0544322789000865$#2236 haya fanya fastaaa.
Makubwa
Halafu mi nawapendaga nyie mnaosemaga "makubwa"