Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 12,139
- 35,973
Kweli?Mbona hicho kitumbo kidogo tu cha ushkaji
Hapo hapooo👌🏽Haa haa hapo ni mazoezi tu babes!
Kweli?Mbona hicho kitumbo kidogo tu cha ushkaji
Hapo hapooo👌🏽Haa haa hapo ni mazoezi tu babes!
Mnakula chips halafu mnakuja kulalama matumbo 🤣Lunchtime ndio hii wavivu wa kupika tukutane hapa😂
Hapana ugali🥲Mnakula chips halafu mnakuja kulalama matumbo 🤣
Yale yale tu 🤣Hapana ugali🥲
Haya lete mambo 🤸🏽♀️Yale yale tu 🤣
Nipo home fridge nyeupeee na m call boda mtindi na makate basi sina hamu ya chochoteLunchtime ndio hii wavivu wa kupika tukutane hapa😂
Mi ndio nimejianika kitandani tangu kukuchee! sijisikii kutoka! Nangoja ugali wa dada niongeze tambi langu😂Nipo home fridge nyeupeee na m call boda mtindi na makate basi sina hamu ya chochote
We huna ata kidogo hilo tumbo👌🏽Hiyo
😆😆 ila mimi napenda jiko sana na naliwezi si habaMi ndio nimejinike kitandani tangu kukuchee! sijisikii kutoka! Nangoja ugali wa dada niongeze tambi langu😂
Unaona hapo sasa mimi siwezi kuacha hili jumba langu nje!Angle ya mgongo ikikosewa, ndiyo unaona lijumba sasa 🤣 🤣
View attachment 3555419
Ikipatiwa nikaziba na vinywele wala huzanii 🤣 🤣
We hayaWe huna ata kidogo hilo tumbo👌🏽
Very sex dear 🥰Angle ya mgongo ikikosewa, ndiyo unaona lijumba sasa 🤣 🤣
View attachment 3555419
Ikipatiwa nikaziba na vinywele wala huzanii 🤣 🤣
View attachment 3555421
Nimeona traco🫢Angle ya mgongo ikikosewa, ndiyo unaona lijumba sasa 🤣 🤣
Ikipatiwa nikaziba na vinywele wala huzanii 🤣 🤣
Jamn kupigiwa tu cm ushafuta🥺Angle ya mgongo ikikosewa, ndiyo unaona lijumba sasa 🤣 🤣
Ikipatiwa ikazibwa na vinywele wala huzanii 🤣 🤣
Hujaona kitu, tulia 😂 😂 🤣Nimeona traco🫢
Sikuzidi, binti wa maji ya kwanza 😂Very sex dear 🥰
Unaogopa tu, inabidi ujue namna ya kulisitiri jumba na nguo 🤣 mfano mie za kubana sivai kabisa 😂Unaona hapo sasa mimi siwezi kuacha hili jumba langu nje!
Si ushaona, Min hakawii kuja akaanza kukusanya mafaili 😂Jamn kupigiwa tu cm ushafuta🥺
Za kubana kazi mie nyama uzembe 🙌Hujaona kitu, tulia 😂 😂 🤣
Sikuzidi, binti wa maji ya kwanza 😂
Unaogopa tu, inabidi ujue namna ya kulisitiri jumba na nguo 🤣 mfano mie za kubana sivai kabisa 😂
Kwa akili yako unahisi haoni😂😂Si ushaona, Min hakawii kuja akaanza kukusanya mafaili 😂