Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 11,902
- 27,646
- Thread starter
- #41
Hawapo humuWana maana hao ? Wa view kimya kimya
Hawapo humuWana maana hao ? Wa view kimya kimya
Yaani hukuniona kama kichaa nakimbia na kichupi sebleni narudi chumbani naenda jikoni, niko kama bata mwenye nyege😂Haaa haaa haaaaaaaaaaaa 😂 😂 🤣 🤣
View attachment 3555371
Dada mm pia nimepunguza wanga picha pale nimepungua lakin naendelea🥰🥰🥰🥰🥰
Mimi mwenyewe ninao 😂 ila punguzeni kula wanga, mimi nimerudi gym nafanya zangu kitu kinaitwa "body recomposition" hasa hasa ni msosi na mazoezi kiasi.
Tupia kitu kabla hawajajaa 😂Walivyo wambea nakwmabia utawaona huku🙌🏾 Wanaume wa siku hizi hawapitiw🤦🏽♀️
Nilivyo mvivu wa mazoezi nitakazana kupunguza ulaji wa wanga jmn🙌🏾🥰🥰🥰🥰🥰
Mimi mwenyewe ninao 😂 ila punguzeni kula wanga, mimi nimerudi gym nafanya zangu kitu kinaitwa "body recomposition" hasa hasa ni msosi na mazoezi kiasi.
Kwanini bata mwenye nyege lakini 🤣 🤣 🤣Yaani hukuniona kama kichaa nakimbia na kichupi sebleni narudi chumbani naenda jikoni, niko kama bata mwenye nyege😂
Hukuniona ungecheka nakwambia 😂😂😂Kwanini bata mwenye nyege lakini 🤣 🤣 🤣
Nimeona, ila siyo kwa mlima huo huko nyuma 🥰 🥰 💕🏃🏽♀️🏃🏽♀️🥺 Binti wa zamani
Mi nimeona tracol
Mlima kitongaNimeona, ila siyo kwa mlima huo huko nyuma 🥰 🥰 💕
Kishundu master😂 huoni nimejibinuaNimeona, ila siyo kwa mlima huo huko nyuma 🥰 🥰 💕

Shenzi tunasubiri zamu yako😂🤸🏽♀️Mi nimeona tracol
NipoHawapo humu
Min me ana balaa huyu jamaa machimbo yote anayajuaShenzi tunasubiri zamu yako😂🤸🏽♀️
Tumbo flat kabisa 🥰Seran Kuna kipindi nilipungua vizuri mpaka kila nguo navaa ila engo za tumbo nazijulia
View attachment 3555379
MhmSi nimewaambia🤗
Umeona hiyo suruali ilipovaliwa lakini 🤣Tumbo flat kabisa 🥰