Special thread: PODCAST (kwa wapenzi wa podcast)

Special thread: PODCAST (kwa wapenzi wa podcast)

Umri unavyozidi kwenda sisi wanawake tumbo haliwezi kuisha kabisa, na si healthy kwetu kuwa na matumbo flat kabisa (sijui 6 packs) hizo si nzuri.


Umeenea vizuri, mbona hakuna tumbo hapo 😂


we sijui unaenda wapi 🤦‍♀️ unapitwa 😂
Nilichomoka kdg kwakweli tumbo linanikwaza nikinenepa nikikonda lipo tu! Kuna nguo siwezi kuvaa sasa🥺hii ya zaman mwaka juzi ila ona kitumbo😫
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom