Special thread: PODCAST (kwa wapenzi wa podcast)

Special thread: PODCAST (kwa wapenzi wa podcast)

Yani mimi ni mvivu niko radhi nipikie kwenye heater au multi cooker😂
Multicooker hata haina shida inarahisisha sana, mimi naitumia na vitu vyote vya kukaanga au kuchoma ninapika kwenye airfryer na wali kwenye rice cooker, kwishaaa 😂

Siku nikiweza takuonesha picha, before last yr tulienda vacation acha tu 😂🙌🏾
Ilikuwaje 😂😂

Tuhameni jamani😂
Break imeisha, tutarudi jioni.
Haya beba mtu wako uondoke naye 😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom