Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 12,723
- 23,996
Sina neno bruhSema nenooo
Sina neno bruhSema nenooo
Uzi una mambo mengi kama unga wa ngano uzi hauna kipengereHuu uzi umekaaa kaaa vipi?
Naona mijadala ya Vyakula, maumbo ya miili, mavazi, mapishi, gym 😂😂😂
Mkuu mbona uliniacha kwenye mataq😭🙌😜Sema nenooo
Yaani sijaelewa kitu kabisaa halafu mnaoandika na kujadiliana mna utulivu wa hali ya juu 😃Uzi una mambo mengi kama unga wa ngano uzi hauna kipengere
Salama aleko salamaleko 😁Mkuu mbona uliniacha kwenye mataq😭🙌😜
Vizuri kaka 😊 tunashukuru uhai upoooSina neno bruh
Waalaykum Salaam shekh ukaingia mitini🤣🤣 mi niko poaSalama aleko salamaleko 😁
Upo poa una endeleajee
Naaam kakaVizuri kaka 😊 tunashukuru uhai upooo
Tatizo umechelewa kaka siku nyingine uwahi tuanze pamoja Alfuu😊Yaani sijaelewa kitu kabisaa halafu mnaoandika na kujadiliana mna utulivu wa hali ya juu 😃
Ngoja mfungo uishee 😊😁Waalaykum Salaam shekh ukaingia mitini🤣🤣 mi niko poa
🔥 🔥Ngoja mfungo uishee 😊😁
Sawa kama time ipo, au utani mentionTatizo umechelewa kaka siku nyingine uwahi tuanze pamoja Alfuu😊
👌🥰Sawa kama time ipo, au utani mention
Ukini-mention/tag nitaona notification then tutaenda sawq
Yes🤝Ukini-mention/tag nitaona notification then tutaenda sawq