Special Thread: Photos Vintage scene πŸ˜‚πŸ˜Ž

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
21,044
Reaction score
53,954
Wakuu

Picha za zamani zina uwezo wa kurudisha kumbukumbu, kuonyesha historia na kutufanya tuone jinsi mazingira yalivyobadilika. Hii yangu ni safari ya kufikirika ya Tanga, Dar es Salaam, Zanzibar, Mwanza miaka 1980β€”vumbi, cowboy vibe na nostalgia full πŸ˜„

Karibuni kushare vintage scene yenu.

Note: Hii ni picha yangu na Mshikaji tukiwa kwenye project fulani mwaka 2009. Jijini Dar es Salaam- Kariakoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…