Special Thread: Merry Christmas & Happy New Year 2017 Wishes!!

How do you say "on behalf of myself"....how can u represent yourself while uko tayari??? Yani unasema kwa niaba yangu????? SMH lugha ngumu. Haya sikukuu njema
 
Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwa miungu wafuatao;
Hermes
Osiris
Jesus
Zoroaster
Tammus
Adonis
Attis
Krishna
Prometheus
Mithra
Heracles

Nyumba nyingi zimejazwa mapambo ya miti iliyopambwa kwa taa na nyota, wengi hawaelewi asili hasa ya pambo hilo maarufu, wanajikuta wakisherehekea sikukuu ya kipagani iitwayo Saturnalia bila wao kujua.

Mimi sina hiyana, nawatakiwa "happy birthday" miungu wote wanaokumbukwa leo!
 
Nichukue nafasi hii kuwatakia heri na fanaka kwenye sikukuu hii ya x-mass na mwaka mpya wana UKAWA popote walipo hapa Tanzania na duniani kote, tumejitahidi kupambana toka uchaguzi mkuu hadi sasa,pamoja na vikwazo vingi lkn kwa moyo wa ushujaa hatukukata tamaa.Nawaomba tu endelea na huo moyo ktk mwaka unaokuja ili tufike pale tunapo tarajia!
 
Nichukue nafasi hii kuwatakia heri na fanaka kwenye sikukuu hii ya x-mass na mwaka mpya wana UKAWA popote walipo hapa Tanzania na duniani kote, tumejitahidi kupambana toka uchaguzi mkuu hadi sasa,pamoja na vikwazo vingi lkn kwa moyo wa ushujaa hatukukata tamaa.Nawaomba tu endelea na huo moyo ktk mwaka unaokuja ili tufike pale tunapo tarajia!

Subiri ndani ya muda mfupi kile chama cha mabavu na kuiga nacho kitatupiamo salamu, si unajua tena ukitumia nguvu sana ubunifu ni zero?
 
Hatusherehekei X-mass mkuu. Tunasherekea CHRISTMASS.

Hiyo x-mass inasheherekewa na wale watoa roho na kucha za watu na wakatili wa haki za watu kama Herode. Hao ni Wapinga Kristo kama wakina mheshimiwa nanii..!
 
Jingle Bells
Dashing through the snow
On a one horse open sleigh
O'er the fields we go,
Laughing all the way
Bells on bob tail ring,
making spirits bright
What fun it is to laugh and sing
A sleighing song tonight

Oh, jingle bells, jingle bells
Jingle all the way
Oh, what fun it is to ride
In a one horse open sleigh
Jingle bells, jingle bells
Jingle all the way
Oh, what fun it is to ride
In a one horse open sleigh

A day or two ago,
I thought I'd take a ride,
And soon Miss Fanny Bright
Was seated by my side;
The horse was lean and lank
Misfortune seemed his lot
We got into a drifted bank,
And then we got upsot.

Oh, jingle bells, jingle bells
Jingle all the way
Oh, what fun it is to ride
In a one horse open sleigh
Jingle bells, jingle bells
Jingle all the way
Oh, what fun it is to ride
In a one horse open sleigh

Jingle Bells, Jingle Bells,
Jingle all the way!
Oh, What fun it is to ride
In a one horse open sleigh.
Jingle Bells, Jingle Bells,
Jingle all the way!
Oh, What fun it is to ride
In a one horse open sleigh.

Now the ground is white
Go it while you're young
Take the girls tonight
And sing this sleighing song
Just get a bob tailed bay
two-forty as his speed
Hitch him to an open sleigh
And crack! you'll take the lead

Jingle Bells, Jingle Bells,
Jingle all the way!
Oh, What fun it is to ride
In a one horse open sleigh.
Jingle Bells, Jingle Bells,
Jingle all the way!
Oh, What fun it is to ride
In a one horse open sleigh.



cc: kasinde
 
Thanks a lot Mr jogi
New year is around the corner, it is going to be our new chapter, hopefully it will be nice with lot of good things to experience and exercise in two way traffic.

May The Almighty God keep on guide us and blindfold wolves who are hungry to tear us apart.
 
We Still Under Your Grace Our President

As Long As You Are My President Whoever I am

Merry Christmas Mh Rais
 
Post za namna hii mtukufu ndio anazipenda!
Najiuliza tu kumbe bado anawafuasi na wanamuombea itakua
 
Kwa nafasi na fursa tuliopewa na Mwenye Enzi na Utukufu wa Mbinguni

Kwa kuwa sote tu mavumbi tu na tumeumbwa kuwa wenye utashi

Kwa kuwa sote tuko chini ya mamlaka za mbingu na hakuna aijuaye kesho

Kwa kuwa mimi nami ni mmoja wa wakazi wa Tanzania na naipenda nchi yangu

Kwa kuwa sote tuko chini ya mamlaka za utawala wa dunia, mabara na nchi katika mipaka yake

Kwa kuwa haikuwa bahati mbaya mimi kuzaliwa Tanzania tena katika tawala nilizoziona na hata zitakazokuja.

Kwa kuwa yote hayakutokea kwa bahati mbaya

Na daima yupo mwenye nguvu kupita viumbe vyote

Merry Christmas Tanzania

Merry Christmas Rais Aliyepo Madarakani

Maana sote tupo chini yake bila kujali itikadi wala dini

Merry Christmas Wakristo wote Tanzania

Amani na Umoja ndilo Ombi letu kubwa leo. Kwa maana Dini ndizo chanzo cha asili cha kila kitu katika maisha na historia ya mwanadamu.


Tuungane Pamoja

Tuseme

Merry Christmas Mama Yetu Tanzania

Mungu Ibariki Tanzania.













Merry Christmas Tanzania.jpg
 
Jingle Bells
Dashing through the snow
On a one horse open sleigh
O'er the fields we go,
Laughing all the way
Bells on bob tail ring,
making spirits bright
What fun it is to laugh and sing
A sleighing song tonight

Oh, jingle bells, jingle bells
Jingle all the way
Oh, what fun it is to ride
In a one horse open sleigh
Jingle bells, jingle bells
Jingle all the way
Oh, what fun it is to ride
In a one horse open sleigh

A day or two ago,
I thought I'd take a ride,
And soon Miss Fanny Bright
Was seated by my side;
The horse was lean and lank
Misfortune seemed his lot
We got into a drifted bank,
And then we got upsot.

Oh, jingle bells, jingle bells
Jingle all the way
Oh, what fun it is to ride
In a one horse open sleigh
Jingle bells, jingle bells
Jingle all the way
Oh, what fun it is to ride
In a one horse open sleigh

Jingle Bells, Jingle Bells,
Jingle all the way!
Oh, What fun it is to ride
In a one horse open sleigh.
Jingle Bells, Jingle Bells,
Jingle all the way!
Oh, What fun it is to ride
In a one horse open sleigh.

Now the ground is white
Go it while you're young
Take the girls tonight
And sing this sleighing song
Just get a bob tailed bay
two-forty as his speed
Hitch him to an open sleigh
And crack! you'll take the lead

Jingle Bells, Jingle Bells,
Jingle all the way!
Oh, What fun it is to ride
In a one horse open sleigh.
Jingle Bells, Jingle Bells,
Jingle all the way!
Oh, What fun it is to ride
In a one horse open sleigh.



cc: kasinde

Thank you love, the bells are jingling. ... it's Christmas yeeey!!
 
Kwa wanachama,wapenzi na wasomaji wa JF,napenda kuwatakia heri ya Krisimasi na Mwaka Mpya 2017. Naomba wote kupitia post hii,tupeane pongezi na kuhabarishana tunavyoendelea kusheherekea sikukukuu hizi. Amina.
 
Back
Top Bottom