Kaeni mzungumze vijana wetu wasitumike walivyotumika, unaporudi leo mzee kulia kijana wako kaumizwa mguu, kijana wako kwa bahati mbaya alikufa, ulishindwa nini kumzuia asitoke? ulishindwa nini kumwambia maneno ya hekima asiende?"
Rais Samia akizungumza na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam Desemba 02, 2025.