PostGE2025 Special Thread: Kauli Tata za Rais Samia katika hotuba zake

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Sasa kama aliamua kutumia nguvu na kuwauwa waliokuwamo na wasiokuwamo, kwanini siku ile pale bungeni alisikitika na kusema hakuyategemea?
 
View attachment 3510480
"Haya [yaliyotokea Oktoba 29] hayakuwa maandamano, zilikuwa ni vurugu zilizoandaliwa kwa madhumuni maalumu." - Rais Samia Suluhu akizungumza na Wazee wa Dar es Salaam
Serikali gani hiyo inayozungumziwa hapa? Ni care taker government au ni ipi? Hakukuwa na au serikali yenye mamlaka ndio maana tukaenda kwenye uchaguzi... hiyo serikali inayo zungumziwa hapa ni ipi ?
 
Hakuna kauli tata hata Moja. Kwanini mnapenda kupindisha ukweli ? Mnafaidikia na nini ?

Mfano wa harakaharaka, nukta namba 5. Ilikuwaje Mkaacha kuwazuia vijana wasifanye vurugu na kuharibu mali za watu kama kweli mnapenda haki au mlikusudia haki ?
Wewe ni kobazi nambari wani na mrengo wako unaeleweka . Kujibishana na mtu kama wewe ni kupoteza muda maana kila kitu huwa unakitazama katika lenzi ya ukobazi. Kwa hiyo kafie mbele huko. Au nenda ukamuulize mwenzio Sheikh Majini huko aliko anafaudu mabikra 72 kando ya mito isiyokauka ya pombe tamu!
 
Tulimie meno tu Mimi nafurahi sana , maana tulimsema sana Mzee Magu na kumtukana kama katili mpaka kuvuka mipaka katika kumsema vibaya , Mungu sasa katuletea yule ambaye tunayemtaka na anatunyoosha kisasawa .
Yule mzee hatukumtendea haki aisee japo naye alikuwa na kasheshe zake. Be careful of what you wish for....wazungu waliwahi kusema!

 
Kuna mahali alisema alitoa kijiposho chake kuwasaidia wale waliokua nje ya nchi. Akili yangu ikanipeleka kwa mama wa hela ya mboga
 
Madhara ya kufanya press uko period ndo haya mda wote umefura jaziba bila sababu ya msingi badala upangilie hoja unatushikia kiuno sisi?
 
Huyu kenge hajui hata maana ya dola. Kuna tofauti kubwa kati ya dola na Serikali.

Dola ni chombo cha kisiasa cha kudumu (permanent political entity) chenye eneo maalum (territory), watu (population), na katiba (constitution).

Serikali ni utawala maalum uliopo madarakani kwa wakati fulani—mihimili ya dola (executive, legislative, and judiciary) inayoendesha nchi kwa sasa.

Utawala mpya ukichaguliwa, serikali hubadilika, lakini dola hubaki ile ile. Kwahiyo, kinachoweza kuangushwa ni serikali, sio dola. Hata mapinduzi ya kijeshi huwa hayaangushi dola—yanaangusha serikali iliyoko madarakani. Kuangusha dola ni kuvunja nchi. No one does that!
 
Asante kwa shule nzuri mkuu. Labda washauri wake watamwelewesha kama anaelewesheka!
 
Madhara ya kufanya presa uko period ndo haya mda wote umefura jaziba bila sababu ya msingi badala upangilie hoja unatushikia kiuno sisi?
umri huo haendi period tena , hata Menopause ameshapita anaelekea late postmenopause
Hapo upweke na mzigo wa uongozi, depression na vile hana mume wa kumliwaza inachangia mengi
 
umri huo haendi period tena , hata Menopause ameshapita anaelekea late postmenopassue
Hapo upweke na mzigo wa uongozi, depression na vile hana mume wa kumliwaza inachangia mengi
Hana mme kivipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…