THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,546
- 14,801
Yani tuache wahuni wanachoma nchi moto na kutishia kupindua nchi kwa kuhofia Hao wakoloni Wenu ICC?Ameshawapa ushahidi ICC kwamba yeye ndiye kaagiza mauaji.
Huyu mtu anayeitwa Samia Hassan ni tishio la Usalama wa Taifa.View attachment 3510468
1. "Oktoba 29 tulitumia nguvu kubwa Kwa sababu ya Vurugu, mlitaka tutumie nguvu ndogo ili iwaje"
2. "Waliohamasisha maandamano Oktoba 29 ni Kwa sababu ya shida za maisha, na walifanya hivyo ili Watanzania wanunue bando wawaangalie ili walipwe"
3. "Kuna watu tunawaambia waje mezani kwenye Maridhiano Ila wao wanajifanya kutaka kutupangia kwamba Hadi tufanye kitu Fulani ndio waje, Niwaambie tu Serikali yangu haitapangiwa Wala kuamrishwa na Watu , Serikali ya wanafunzi na waalimu ndio itakayopangiwa na siyo Serikali yangu"
4. "Wapinzani walihamasisha maandamano Kwa sababu waliishiwa Pawa"
5. "Mnalalamika Vijana wenu wameuliwa, kwanini hamkuwazuia wasiende?"
6. "Vurugu za Oktoba 29 zililenga kuiangusha Dola, walishindwa"
7. "Nasikia Kuna lingine wamepanga kukifanya December 9 , Niwaambie tu na Hilo halitafanikiwa hata kidogo"
8. "Mimi ndio Raisi wa Tanzania na Serikali ninayoiongoza inafanya Kazi, uwe unaitambua au huitambui Ila Ndiyo Serikali na Mimi ndiyo Rais.
Kuna Uzi Huku nilisema Samia ni mkatili kuliko anavyoonekana. Ukiangalia macho yake kwa umakini unagundua hilo mapema tu.
Kuna jamaa alisema mama SAMIA hafai kuwa MAMA WA KAMBO..Kuna Uzi Huku nilisema Samia ni mkatili kuliko anavyoonekana. Ukiangalia macho yake kwa umakini unagundua hilo mapema tu.
Ni Mimi nilisema humu humu kuhusu hilo.Kuna jamaa alisema mama SAMIA hafai kuwa MAMA WA KAMBO..
ANA UKATILI MKUBWA SANAAAAAA NDANI YAKE..
UKITAKA KU UNGANISHA DOTI TAFUTA VIDEO AKIELEZEA HISTORIA YAKE YA MAISHA , UONGOZI NA ELIMU
Awamu ijayo baada ya D9 utakua haongei tena humu.. nitakuwepoYani tuache wahuni wanachoma nchi moto na kutishia kupindua nchi kwa kuhofia Hao wakoloni Wenu ICC?
View attachment 3510468
1. "Oktoba 29 tulitumia nguvu kubwa Kwa sababu ya Vurugu, mlitaka tutumie nguvu ndogo ili iwaje"
2. "Waliohamasisha maandamano Oktoba 29 ni Kwa sababu ya shida za maisha, na walifanya hivyo ili Watanzania wanunue bando wawaangalie ili walipwe"
3. "Kuna watu tunawaambia waje mezani kwenye Maridhiano Ila wao wanajifanya kutaka kutupangia kwamba Hadi tufanye kitu Fulani ndio waje, Niwaambie tu Serikali yangu haitapangiwa Wala kuamrishwa na Watu , Serikali ya wanafunzi na waalimu ndio itakayopangiwa na siyo Serikali yangu"
4. "Wapinzani walihamasisha maandamano Kwa sababu waliishiwa Pawa"
5. "Mnalalamika Vijana wenu wameuliwa, kwanini hamkuwazuia wasiende?"
6. "Vurugu za Oktoba 29 zililenga kuiangusha Dola, walishindwa"
7. "Nasikia Kuna lingine wamepanga kukifanya December 9 , Niwaambie tu na Hilo halitafanikiwa hata kidogo"
8. "Mimi ndio Raisi wa Tanzania na Serikali ninayoiongoza inafanya Kazi, uwe unaitambua au huitambui Ila Ndiyo Serikali na Mimi ndiyo Rais.
????🤔Mbona unajitoa na kuwapa mamlaka wengine kwani wewe sio mzalendo hauwezi kufanya jambo ?
Uongozi wa kweli huanza pale serikali inapokubali kusikia hata yale yasiyopendeza masikioni.Ni Mimi nilisema humu humu kuhusu hilo.
Huyu hafai hata kuwa mama wa kufikia. Anaua watoto wako Huku wewe ukiwasimanga wanaona Nola kujua.
Macho yake yanadanganya sana.
Hii ni kauli ya imani.Bado sijaiona substance ya kupelekea ICC kukubaliana kufungua hiyo ‘kesi’
Kwani watanzania tulimkosea nini Mungu hadi tunapewa hii adhabu?, Hii kauli ni ishara ya uwezo mdogo sana wa kufikiri.2. "Waliohamasisha maandamano Oktoba 29 ni Kwa sababu ya shida za maisha, na walifanya hivyo ili Watanzania wanunue bando wawaangalie ili walipwe"
Soldiers never die at home. Soldiers die in battlefields.Kasema muda wowote mnakaribishwa uwanja ni mweupe hata mkishindwa kufanya hizo vurugu zenu tarehe 9 kasema mje wakati wowote mtapokelewa vizuri tu na mtaonyeshwa pakulala.
Watu wanaogopa ICC wewe?Ameshawapa ushahidi ICC kwamba yeye ndiye kaagiza mauaji.
Punguza maneno mmeshakaribishwa uwanjani toka muda wowote ukafanye ule unyumbu wenu wa kuiba mali za watu na kuharibu uone mziki wake safari hii siyo kama mlivyoachiwa hadi jioni safari hii unakula chuma mbele ya mali uliyoiba au kuiharibu.Soldiers never die at home. Soldiers die in battlefields.
Tunakuja,mjiandae vema.
Kuna muda inabidi heshima iwepo hakuna serikali inapinduliwa pinduliwa tu kama mnavyotaka... Kawaita uwanjani karibuniHuyu mtu anayeitwa Samia Hassan ni tishio la Usalama wa Taifa.