Special Thread, COPA America 2015

Special Thread, COPA America 2015

Mbona hata hapa yupo vizuri tu..... Kama umeanza game toka mwanzo utakuwa umeliona hilo.

japo mechi sijaiona ila inawezekana alikabwa sana (kama nilivokua nimesema) mwisho wa siku no impact maana timu nzma inamuangalia yeye.
subirini muone watoto wa dunga watakachofanya
 
Kuna nafasi ya Brazil kukutana na Argentina hatua itakayofuata, unless wote wanamaliza katika nafasi moja kwenye makundi yao. Walete!
 
Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mlimbwende weye umeshasimamia show ya uhakika na kuacha watu wanakoroma tu grrrrrrrrrrrrrrrrrrr......grrrrrrrrrr... grrrrrrrr hahahahahah lol! ili uendelee na uteja wako wa soka na kuepuka maswali ya kiuchokozi "Hulali leo mbona unaangalia TV mpaka usiku wa manane unaangalia nini?"

Huwa anatulizwa kabla na chake kabisaa....yaani km ni ulevi nikiri wazi nishakuwa teja la soka.....
 
SAMUDIO jana kaiangusha paraguay ingekuwa bongo angetemwa siku hiyo hiyo
 
CHcLNb2UYAAxntT.jpg
 
Game ya Argentina vs Paraguay imeniuma sana kutoiangalia...
 
Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mlimbwende weye umeshasimamia show ya uhakika na kuacha watu wanakoroma tu grrrrrrrrrrrrrrrrrrr......grrrrrrrrrr... grrrrrrrr hahahahahah lol! ili uendelee na uteja wako wa soka na kuepuka maswali ya kiuchokozi "Hulali leo mbona unaangalia TV mpaka usiku wa manane unaangalia nini?"

Teh teh teh teh wewe unafikiri bila plan b ntaonekana humu......
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom