Special Thread, COPA America 2015

Special Thread, COPA America 2015

Dk 60

Arg 2 - 1 Par

Valdez wa Paraguay anachomoa goli moja

Nilichepuka kidogo dah!! nikakutana na ile miss ya Messi......Paraguay wameamka sana..... Dah!! Messi kamiss tena...
 
Nilichepuka kidogo dah!! nikakutana na ile miss ya Messi......Paraguay wameamka sana..... Dah!! Messi kamiss tena...

Paraguay wanashambulia kwa kushtukiza...

So far Argentina wamekosa nafasi nyingi...

Dk 74 Tevez anaingia nafasi ya Pastore na Higuain anaingia nafasi ya Aguero
 
Paraguay wanashambulia kwa kushtukiza...

So far Argentina wamekosa nafasi nyingi...

Dk 74 Tevez anaingia nafasi ya Pastore na Higuain anaingia nafasi ya Aguero

Umeona tulivyokoswa hapo Rameo kacheza vyema.......
 
Dah!! Tunahitaji kagoli kengine tuwe safe.... Hapo kwwnye kumalizia hakuna good communication....
 
Watu8 dah!! So sad Paraguay wamesawazisha
 
Last edited by a moderator:
Big up Paraguay mmejitahidi ......Argentina today mmejitahidi lakini si ile ambayo tulitazamia... Hope next tutacheka
FT Arg 2- 2 Prgy
 
SAA 2:32 mie ni kk maana nishajua unakoelekea.... Byeeeee
eve muonekano wa picha tunaweza kuhukumu jinsia yako ila ukweli unaujua wee mwenyeo ila kama ni jinsia ya f shemegi unampa tabu :whoo::whoo::whoo: mida hii ni hatari na wee uko jf na mbele kuna screen hahahaahaha
 
So sad ukilinganisha na nafasi tulizopoteza dah!! Inauma sana.... Anyway si mwanzo mbaya........ubusiku bununu nkamu gwangu....

Hahaha hii lugha yako hapa mwishoni lol...

Ughonege kanunu kalumbu...bhukhile naloli!!!
 
eve muonekano wa picha tunaweza kuhukumu jinsia yako ila ukweli unaujua wee mwenyeo ila kama ni jinsia ya f shemegi unampa tabu :whoo::whoo::whoo: mida hii ni hatari na wee uko jf na mbele kuna screen hahahaahaha

Huwa anatulizwa kabla na chake kabisaa....yaani km ni ulevi nikiri wazi nishakuwa teja la soka.....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom