Plan ZERO lol! hahahahahaha hii ni bab kubwa ni lazima uzuke tu mtaani, there is no any other option.
Hahaha!! Unatumia ubabe siyo eeh? Ungekuwa na mwanamke anayecheza kama position yangu ya mshambuliaji mkabaji 😀😀😀 ungekoma na hiyo plan zero yako....
Hahahahahaha lol! umenichekesha sana, sikusema natumia ubabe nimekwambia plan ZERO lol! hahahahaha, plan ZERO haihusu kabisa ubabe 🙂🙂
Ngoja niishie hapa nitakupata mahali na utadefine plan Zero,features of plan Zero, function, advantages and disadvantages,kisha utatoa Conclusion....hahahaha nitakuwa lecturer wako kwa muda.
Naona washabiki mmebaki wawili tu ... ..... ... .... .... .... wekeni video link chacha ... ... ..khe khe khe he khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Aisee nakosa hizi game...dah!namiss sana soka kipindi hiki...nawashukuru kwa kutupa update hapa wadau...mdau paulo de souz na mtani wa jadi everlenk na wengine...
Dah! unataka kunirudisha shule tena somo gumu sana hili lol! hahahahaha...itabidi nishinde library kuanza kuchimba ili kuhakikisha huu mtihani naondoka na msonge plus 🙂🙂....eti lecture wangu kwa muda lol! hahahahaha utavaa dera au kimini!?
Pole sana mkuu....