Special Thread, COPA America 2015

Special Thread, COPA America 2015

Mkuu "baki" nimekuelewa sana kwa kuanzisha hii thread.
 
Mie nimekosa kuwaona Argentina, enjoy the game guys. Dakika ya 88 kati ya Brazil na Spain, Brazil wanaongoza 1-0. Wanawake kusema kweli wameimprove sana kwenye kusakata kandanda.

everlenk bila shaka upo macho...

Karibu tuwatazame Argentina...
 
Game ya Brazil na Spain naona inaisha sasa...

Still u can switch to Argentina match ndio ipo dakika za ishirini sasa...

Mie nimekosa kuwaona Argentina, enjoy the game guys. Dakika ya 88 kati ya Brazil na Spain, Brazil wanaongoza 1-0. Wanawake kusema kweli wameimprove sana kwenye kusakata kandanda.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Tupo pamoja uwe unatupa updates za huko kwa warembo, warembo wako juu...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wataachia tu ......ila pale kny kumalizia sijaona ............Agruerooooooo

Duh!!! Nikashindwa hata kumalizia nilichokuwa naandika maana niliona goal.......

Argentina 1-0Paraguay
 
Swali la kichokozi-wakina dada everlenk, cute b etc hivi mnaangalia Women World Cup? msapoti kina dada/mama wenzenu sio kuangalia mpira wa madume tu.
 
Mie nafuatilia japo si sana wakati mwingine pia nakuwa sijui ratiba ndo maana nashindwa . ......
 
Back
Top Bottom