Special Thread, COPA America 2015

Special Thread, COPA America 2015

11407000_866912710022847_3988567777558078840_n.jpg
 
Hii ya leo bado hata majogoo hayajalala lol! ila nakushangaa naona jana ulikuwa #TeamArgentina au umetuhama #TeamBrazil kwenye mashindano haya?

Ya leo imekaa fresh hapa tutapiga deshi kisha tutaamka na BBC tupate habari za dunia....lol
 
Shouts out kwa everlenk bana, zaidi ya Rhiannon Jones na Kay Murray sidhani kama kuna mwanamama ana uchizi wa soka kukuzidi. Halafu sio blonde, maana mwingine angeshauliza 'Cristiano anacheza lini?'

Itabidi tukuvute Madrid.
 
Last edited by a moderator:
Huwa anatulizwa kabla na chake kabisaa....yaani km ni ulevi nikiri wazi nishakuwa teja la soka.....
yaani sijui niseme uko lavel moja na mii au nimekuzidi manake wifi yako hapa toka alikua anaongea mpaka saivi kaamua kunyamaza hakuna gem inayochezwa nisiiyone ila kama ikitokezea mda sawa hii kitu imesha niingia katika mishipa ya damu waswahili walisema hiyari hushinda utumwa si uwongo.
 
Haya Colombia vs Venezuela hao wamechangamka kweli kweli, naona mwanangu Falcao hope huku atapendeza dozi za LVG zimekuwa nzito kwake
 
Hongera everlenk kwa kuamua kuwatema MANU na kusajili BARCA, bado ombi la kusajili na Gunners lipo pale pale maana mapenzi yako ya soka yalianzia Gunners, baada ya kuona hakuna makombe ndiyo ukatukimbia 🙂🙂...Makombe yameanza kurudi taratibu na msimu ujao kutakuwepo na treble 🙂🙂 kwa mara ya kwanza baada ya miaka mingi, karibu sana nyumbani Gunners.

tuwachie ever wetu na barca yetu alishajua chama la kuja ndo maana hajutii
 
Last edited by a moderator:
Shouts out kwa everlenk bana, zaidi ya Rhiannon Jones na Kay Murray sidhani kama kuna mwanamama ana uchizi wa soka kukuzidi. Halafu sio blonde, maana mwingine angeshauliza 'Cristiano anacheza lini?'

Itabidi tukuvute Madrid.

Asante sana bro......nami niwashukuru ninyi wote humu kwa kampani yenu bila ninyi sijui ingekuwaje mnanifanya niupende mpira zaidi na zaidi....
 
Last edited by a moderator:
Hongera everlenk kwa kuamua kuwatema MANU na kusajili BARCA, bado ombi la kusajili na Gunners lipo pale pale maana mapenzi yako ya soka yalianzia Gunners, baada ya kuona hakuna makombe ndiyo ukatukimbia 🙂🙂...Makombe yameanza kurudi taratibu na msimu ujao kutakuwepo na treble 🙂🙂 kwa mara ya kwanza baada ya miaka mingi, karibu sana nyumbani Gunners.

Naona sasahivi umekuwa mpana sana nitakodi matarumbeta sasa😀😀😀..... Iam Red....michepuko ruksa..... Nalipenda soka la Hispania na Italy ndo maana utaniona nazurura huko.........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom