Special Thread, COPA America 2015

Special Thread, COPA America 2015

Di Maria mchezaji mzuri sana isipokuwa huwa anapoteza sana mipira na anakimbia kama kuku aliyekatwa kichwa...

Kwa kasi yake ile alipaswa awe winga mkali kama Overmars, Robben, Giggs, Bale (wa Tottenham)...
hahaaaa. long after you said this nimewasikia na wachambuzi hapa wanasema di maria wakati anaumia was running like a headless chicken.
 
Back
Top Bottom