Special Thread, COPA America 2015

Special Thread, COPA America 2015

Bado di maria ni pengo mpaka sasa, sababu ule upande wa kushoto hauna tena amsha amsha kama mwanzo na nadhani beki ameshukuru sana.. #teamchile
 
Dissapointing 0-0. Haya mashindano ukitoa mechi ya (Argentina vs. Paragway, na mechi moja ya Makundi ya Chile) hayana magoli mengi .. (ushindi mwembaba 1-0, 2-1, ..)
 
Di Maria mchezaji mzuri sana isipokuwa huwa anapoteza sana mipira na anakimbia kama kuku aliyekatwa kichwa...

Kwa kasi yake ile alipaswa awe winga mkali kama Overmars, Robben, Giggs, Bale (wa Tottenham)...

Bado di maria ni pengo mpaka sasa, sababu ule upande wa kushoto hauna tena amsha amsha kama mwanzo na nadhani beki ameshukuru sana.. #teamchile
 
Bado di maria ni pengo mpaka sasa, sababu ule upande wa kushoto hauna tena amsha amsha kama mwanzo na nadhani beki ameshukuru sana.. #teamchile

Naona dua lako la mchana unajitahidi litimie.....lol.....subiri wewe nishakwambia ipo roho bado inaishi so Tulia wewe uone Utamu wake..
 
Hahaha...

Mkuu hiyo ni kwa sababu hawa Walatino wana mpira wa kibabe hivyo hata magoli yanatafutwa kwa mbinde...

Dissapointing 0-0. Haya mashindano ukitoa mechi ya (Argentina vs. Paragway, na mechi moja ya Makundi ya Chile) hayana magoli mengi .. (ushindi mwembaba 1-0, 2-1, ..)
 
Di Maria mchezaji mzuri sana isipokuwa huwa anapoteza sana mipira na anakimbia kama kuku aliyekatwa kichwa...

Kwa kasi yake ile alipaswa awe winga mkali kama Overmars, Giggs, Bale (wa Tottenham)...

Kunywa kinywaji chochote ulipo nakuja kulipa......umemaliza kaka....
 
kutoka Di maria kumenipunguzia matumaini. harafu nimegundua club yenu inaua vipaji.

Usiwe na wasiwasi Wangu ushindi ni lazima.......ahhh!! Philosophy ya LVG ngumu kueleweka kwa haraka ila LVG herbal imeingia kisawasawa next season kijana atasumbua sana na atang'aa haswaa,Mark my words...
 
Kama upo karibu na mangi apo kunywa soda kwa ela yako.. di maria atatisha sana next season
 
Back
Top Bottom