everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
We jipe moyo tu, leo mtaondoka vichwa chini.
Aha! Wapi!!! Nipo hapa kukutibu usijali....

Hivi leo kuna ET au ni mikwaju tu ya penalty kama tulivyozoea?
Aha! Wapi!!! Nipo hapa kukutibu usijali....
Aisee! Huyu jirani nuksi kweli yaani, eti ndio anafungua mlango saivi. Nimekosa nini, Kirikuu ndio kaingia nini? Naona 0-0.

Chile walipiga kambi langoni mwa Argentina...

Leo mmenikamia kweli kweli.....
Toka atoke di maria, kirikuu hajaonekana tena.. ukimuona mwambie nina RB yake kwa kosa la uzururaji uwanjan
Sanchez hupati tena hiyo chansi.....dah! !!!
Chupu chupu muadhirike
Toka atoke di maria, kirikuu hajaonekana tena.. ukimuona mwambie nina RB yake kwa kosa la uzururaji uwanjan
Hahaha yaani kila siku anakamiwa yeye tu?