everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Sina shaka na wewe, tutakutana kuleee kwetu.. mjini OT
Hapa na yeye lazima atengwee hahaha!!!!
Sina shaka na wewe, tutakutana kuleee kwetu.. mjini OT
Hapa na yeye lazima atengwee hahaha!!!!
Baadaye wapendwa wangu chaji inanitenganisha nanyi.......ntalia mm ah!!
Mcheza kwao hutuzwa, itakua poa sana kwa Chile kutwaa taji hili ili kuionyesha dunia kwamba nao wamo pia.
Haya hayaaa asiye na mwana aeleke jiwe, mida ndio hio ina tadawari.. #teamchile
Nipe Dakika kama 15 hivi nipate baraka za kaka yako......
#teamArgentina
Wadau tunaomba Link inayoonesha Mtanange. Vipi Azam TV Wanaonesha?
Mkuu Watu8 tafadhali niwekee hapa link mkuu niangalie huu mtanange, yangu nayotumiaga naona imezingua leo sijui kwa nini