everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Subili argentina apigwe kimoko tu kama cha nguruwe, ndo utajua kama tunaangalia mpira mmja au lah
Haitokaaa itokeee!!!!
Subili argentina apigwe kimoko tu kama cha nguruwe, ndo utajua kama tunaangalia mpira mmja au lah
Haitokaaa itokeee!!!!
Haitokaaa itokeee!!!!
Nipo hapa kuwatibu wote mtakaoumizwa, kama ambavyo nimekuwa nikitoa Tiba lazima kazi yangu itimie Leo.....
Haitokaaa itokeee!!!!
Duh!!!
Huyu refa mtemi mtemi...
Papupi anawajua vizuri ndo maana habishani.....wewe Anglia hata tukiwa tunapiga faulo au kona mnavyofanya. ..
Vidal anaweza akaishia hapa kwa leo...
Tu bet..
Duh!!!
Huyu refa mtemi mtemi...
Hmmmm! unatumia dawa zipi kutibu watakaoumizwa? Na wewe ukiumizwa unaye wa kukutibu? au unaweza kunipa dawa zako nikutibu?
Ndiyo hata kama ni mm mwenyewe....hahahah