Natamani mechi ya leo nishuhudie 'matuta' kama jana...
Hapana aiseee tusifike huko yaani hujui tu hali yangu ilikuwa mbaya kiasi gani...
Shukrani Mkuu...
Matuta yananukia yesss
Raha sana kutazama matuta Brazil akicheza...
Raha sana kutazama matuta Brazil akicheza...
* Brazil watafunga goli la pili....