Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Hehe, hawa watakuwa wazungu tu, sio wa-America.
Say what now? *couple of push-ups*, right on my way *Jim Carrey's Mask style*
Duh!!! Si nikavusha kabisa baada ya kusoma hapa........lol
Hahahaha! Dah!
![]()
Hahahah.. smfh! ndo maana nilisema huyu jamaa kuna vitu wanampa ambavyo hastahil, Man of the match alikua Ospina..
Hahaha, sitashangaa wakimuhesabia na goli la penalty alilofunga jana.
Hahaha huyu kirikuu sasa imekua too much.. dah sasa haya n mahaba
Hahaha, sitashangaa wakimuhesabia na goli la penalty alilofunga jana.
Hahaha huyu kirikuu sasa imekua too much.. dah sasa haya n mahaba
Anti Messi at work.......lol
Hahah.. kumbe ushaamka??? but unajua nan alistahil man of the match