Special Thread, COPA America 2015

Special Thread, COPA America 2015

CHILE: Bravo; Isla, Medel, Jara, Mena, Díaz, Aránguiz, Vidal, Valdivia, Alexis y Vargas

URUGUAY: Muslera; Pereira, Giménez, Godín, Fucile, Ríos, Á.González, Sánchez, Cebolla, Rolan y Cavani
 
Naona chile wanataka bao la kuongoza kipindi cha kwanza
 
Dk 63

Cavani anapigwa kadi ya pili ya njano na inakuwa nyekundu...

Kadi zote kapata kwa upumbavu wake...

Ya kwanza kwa kumzonga mwamuzi msaidizi, ya pili kwa kumtia kerebu/singe mwenzake(ingawaje kaingizwa mkenge)...
 
Hili goma likiisha bila kufungana hadi dk 90, tutashuhudia matuta...
 
Duh!!

Dk 85

Jorge Fucile wa Uruguay anapigwa kadi nyekundu

Mechi imesimama imetokea tafrani uwanjani...
 
Kwa hali hii Mabingwa watetezi wanavuliwa leo..kwanza Uruguay hawakuwa na Mshambuliaji yoyote nyota ukiwacha huyu cavan ambaye nae hajafanya chochote cha maana mechi zote nne
 
FT

Chile 1 - 0 Uru

Uruguay anavuliwa ubingwa...

Chile anasonga mbele nusu fainali...
 
Back
Top Bottom