Full time Chile 1 Uruguay 0
FT
Chile 1 - 0 Uru
Uruguay anavuliwa ubingwa...
Chile anasonga mbele nusu fainali...
Aiseee!! Ana haki ya kureact, halafu huyu Jara ana matatizo kumbe aliwahi mfanyia hata Suarez kwa kushika ikulu wakati wa World Cup....Duh kumbe sababu ni hii
Aiseee!! Ana haki ya kureact, halafu huyu Jara ana matatizo kumbe aliwahi mfanyia hata Suarez kwa kushika ikulu wakati wa World Cup....
Uruguay star Edinson Cavani sent off for slapping Chile defender who 'inserted finger into his anus' - Telegraph - http://www.telegraph.co.uk/sport/football/live-scores/9495217/Live-scores.html
Sema hawa wachezaji wanachokosea huwa hawawapigi kweli, yan kamshika shavu tu unapewa red card??.. Kama unajua hapa nitapewa red card piga kwel kama alivyofanya pepe na zidane
Baada ya kutazama tena inaonekana Jara kamtia dole Cavani...
Ndio chanzo cha Cavani kuzua ule mtiti wote...
View attachment 263243
Uhuni mwingine bana, smh!
Hahaha uchokozi ndio zako. Anyway, ni ngumu kufikiria ningefanya nini, coz sijawahi kuwa victim wa uhuni hata siku moja. Natokea Arusha bana, they know better.Kwa mfano ungefanyiwa wewe ungefanyaje??.........lol
Hahaha uchokozi ndio zako. Anyway, ni ngumu kufikiria ningefanya nini, coz sijawahi kuwa victim wa uhuni hata siku moja. Natokea Arusha bana, they know better.
Ahh!! Kumbe ww ni chalii wa Arachuga wahao!! Chalii wa wapi vile Ngarenaro, Matejo ,Mbauda, Unga limited, Kwa Mrombo wapi vile???..........nataka kujua ili nianze kukuogopa nisikuchokoze tena... !!!
Hata kunistua nkamu gwangu!!....Dah!!! Kichwa mambo mengi......Jana nimeoverlook ratiba nilijua ni Leo...
Uhuni mwingine bana, smh!
Hii mambo nilikuwa naiona sana mechi za mchangani zamani...
Makipa ndio walikuwa wanapapaswa sana makalio wakati kona ikipigwa...
Sasa hapo kipa yupo juu, akiguswa kalio anaacha kudaka mpira then watu wanautia kambani...