Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Mnamfundisha tu si unaona Suarez alivyo now !!!!.......Loh!!.bora Vidal kuliko Pogb.......
Hahaha Suarez! Ngoja muanze kufungwa muone anavyong'ata watu. Pogba shida yake ni attitude na ule uchafu wa nywele kichwani pale, Vidal ni muhuni kabisa yule, we muone tu alivyo.
Btw, kwanini mnakuwa na roho ya team Davido? Kila tunapoenda mnakuja kutubania tu. Kwa Pogba mlitufuata, tukahamia kwa Kondogbia, mkaja tena. Hehe nyie watu bana.