everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Hehe, smh! Umejuaje sehemu zote hizo? Sakina ndio maskani.
Nimewahi ishi A town na wazazi wangu wanaishi huko......
Hehe, smh! Umejuaje sehemu zote hizo? Sakina ndio maskani.
Hii mambo nilikuwa naiona sana mechi za mchangani zamani...
Makipa ndio walikuwa wanapapaswa sana makalio wakati kona ikipigwa...
Sasa hapo kipa yupo juu, akiguswa kalio anaacha kudaka mpira then watu wanautia kambani...
Nimewahi ishi A town na wazazi wangu wanaishi huko......
LEO ARGENTINA VS COLOMBIA nawaonea huruma colombia sababu leo wanacheza na timu mbili uwanjani na ARG wanaweza wakaiweza jee hii ya pili wataiweza????? KAA TAYAR KUMSHUHUDIA KING
Hapa ndipo nilipoishia kuona,jana net kwa upande wangu ilikuwa shida nikashindwa kuendelea kutazama maana nilikuwa boredNaona raia wengi leo mmedozi...
Hadi sasa dk 59...
Bolivia 0 - 2 Peru
FT
Bolivia 1 - 3 Peru
Tatizo la argentina ikifika dk 70 huwa wanachoka sana, so hata wao wanabidi wawe waangalifu
Angel Di Maria: "When Crespo or Bati
were central, you could put the ball for
them to head. We are short, if we do
not play on the ground, it becomes
complicated."
Hapa Paulo Sergio De Souz atacheka.....jamani ufupi si hoja hata huko kwenu kuna wafupi....lol
LEO ARGENTINA VS COLOMBIA nawaonea huruma colombia sababu leo wanacheza na timu mbili uwanjani na ARG wanaweza wakaiweza jee hii ya pili wataiweza????? KAA TAYAR KUMSHUHUDIA KING
ucjali mkuu leo messi lazma awe man of the matchNi ngumu sana kutabiri matokeo pindi mataifa yafuatayo yakikutana katika mechi baina yao:
Colombia, Brazil, Uruguay, Argentina na Paraguay...
Nchi za kusini mwa Amerika zinajuana na mechi zao huwa ni ngumu kuweka utabiri...
ucjal mkuu maadam messi yupo uwanjani hakuna kitu kinachoharibikaTatizo la argentina ikifika dk 70 huwa wanachoka sana, so hata wao wanabidi wawe waangalifu
ucjali mkuu leo messi lazma awe man of the match
Hahah haya kaka...
Nakumbuka Messi aliitosa zawadi ya Man of the match walipocheza na Paraguay ile mechi yao ya mwanzo...
Lio alikasirishwa namna walivyobanwa hadi wakatoa droo, na hata ilipotaka kutolewa kwa Muargentina mwingine wachezaji wote wakaitosa...
Ikabidi tu wapewe wafungaji wa Paraguay...