Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
Knockout stage of Copa America:
Chile vs Uruguay
Bolivia vs Peru
Argentina vs Colombia
Brazil vs Paraguay.
Knockout stage of Copa America:
Chile vs Uruguay
Bolivia vs Peru
Argentina vs Colombia
Brazil vs Paraguay.
![]()
Ushabiki pembeni, i think Chile na Argentina wako kwenye position nzuri ya kutoa bingwa.
Big up Vidal keep it up..........hivi zile mbio za kumchukua zimeishia wapi? Vunjeni bank yenu nyie si ndo matajiri wa dunia!
Umeongea ukweli yaani mpaka raha ungekuwa karibu ningekupa zawadi.
Hela sio tatizo kamwe, his conducts ndio matatizo kwa club yetu, hatufai. Hiyo ajali ya juzi ndio imeharibu kila kitu.
Kuna tete kuwa huko amerika kusini kuna watoto wazuri sana. Je, tetezi hizi ni za kweli?