Special Thread, COPA America 2015

Special Thread, COPA America 2015

FT Arg 1- 0 Uru
Big up Argentina japo mmepoteza nafasi nyingi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
FT

Arg 1 - 0 Uru

Argentina leo wamecheza kizemb mno...

Sijui uzembe au vipi lakini mimi naona huku Latin America wanaujua mpira haswaa na wanajua kukabiliana ipasavyo yaani kutabiri matokeo ni ngumu,mimi nilianza kukata tamaa kabisa nikasema sasa BAK anipokee mikono miwili Brazil...... Lakini hata Brazil kwa juzi walivyocheza sijui.... Yaani huku wanajuana sana hakuna cha nani wala nani.
 
Last edited by a moderator:
BAK na Watu8 muwe na wakati mwema, BAK naona matokeo ya warembo yale yale baridi limekuwa Kali sana ngoja mimi nijikatae, utupie result za mwisho kule kwa kinamama nitakuja kuona.
 
Last edited by a moderator:
Wakati mwema everlenk wengine bado siku haijaishwa...

Tupo upande mwingine wa NBA twatazama fainali...

BAK na Watu8 muwe na wakati mwema, BAK naona matokeo ya warembo yale yale baridi limekuwa Kali sana ngoja mimi nijikatae, utupie result za mwisho kule kwa kinamama nitakuja kuona.
 
Last edited by a moderator:
Ulale unono na njozi njema, nitatimiza ombi lako usiwe na wasiwasi.

BAK na Watu8 muwe na wakati mwema, BAK naona matokeo ya warembo yale yale baridi limekuwa Kali sana ngoja mimi nijikatae, utupie result za mwisho kule kwa kinamama nitakuja kuona.
 
kwa team kama Argentina ya sasa, + 'Player from another galaxy', Nilitegemea scoreline inayovutia kidogo. Au hakuwepo?
 
CHqo0nzWEAAHbt8.jpg

2 games, 0 assists, 0 goal...oops my bad, 1 goal. I thought i heard somebody saying penalties don't count, was it you Herrera? Haha, anyway, i thought "a player off this planet" should be on a double stats by now, no??​
 
Sijui uzembe au vipi lakini mimi naona huku Latin America wanaujua mpira haswaa na wanajua kukabiliana ipasavyo yaani kutabiri matokeo ni ngumu,mimi nilianza kukata tamaa kabisa nikasema sasa BAK anipokee mikono miwili Brazil...... Lakini hata Brazil kwa juzi walivyocheza sijui.... Yaani huku wanajuana sana hakuna cha nani wala nani.

....umeamua kuhama timu? Brazil wakizingua unahamia timu gani tena? Brazil hawana kikosi cha ushindi. Mimi sijaona game hata moja ya hata mashindano. Ila uniambii kitu Mimi na Argentina, Argentina na Mimi.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo sayari nyingine ambayo huwa watu wanaiomgelea ni AMERICA KUSINI.
mechi ya jana nilicheki dakika 44 za kwanza. japo messi hakufunga ila alicheza kandanda safi sana. macommentator wanasema marefa wa amerika kusini hawawalindi wa chezaji. pengine ndiyo sababu mastaa wa ulaya wanashindwa kuwika.
 
CHqo0nzWEAAHbt8.jpg

2 games, 0 assists, 0 goal...oops my bad, 1 goal. I thought i heard somebody saying penalties don't count, was it you Herrera? Haha, anyway, i thought "a player off this planet" should be on a double stats by now, no??​

hahahaaa, penalt dont count?? you know what?? artulo vidal now has more goals + assist in copa america than the Allien (player from another galaxy a.k.a supernova)
much respect to AD7 for diving, otherwise 2 games 0 goal + 0 assist
 
Back
Top Bottom