Special Thread, COPA America 2015

Special Thread, COPA America 2015

hahahaaa, penalt dont count?? you know what?? artulo vidal now has more goals + assist in copa america than the Allien (player from another galaxy a.k.a supernova)
much respect to AD7 for diving, otherwise 2 games 0 goal + 0 assist

Hahaha oi, what a troll.
 
CHsfv9YXAAAh0av.jpg

'Dude, ain't you supposed to be an alien or something??'​
 
He WILL NOT BE FINED FOR HIS DECISION

1434453413_extras_noticia_foton_7_1.jpg

Lionel Messi
decided to turn down the man of the match award for the Argentina-Paraguay game that ended in a 2-2 draw. Sources close to the Copa América organising body have assured that the player will not be fined for having done so.

Messi, who scored from the penalty spot in the game, decided not to accept the award. The judges therefore turned to Nelson Haedo Valdez, who scored Paraguay's first goal in the game.

Meanwhile, sources close to the tournament's organisers have revealed that the Argentina team will be fined for once again failing to provide a player for the pre-match press conference, as the rules stipulate that at least one player must always appear along with the team's manager.

Read more:Messi refuses man of the match award against Paraguay - MARCA.com (English version)
 
mechi ya jana nilicheki dakika 44 za kwanza. japo messi hakufunga ila alicheza kandanda safi sana. macommentator wanasema marefa wa amerika kusini hawawalindi wa chezaji. pengine ndiyo sababu mastaa wa ulaya wanashindwa kuwika.
Hiyo ya kutowalinda wachezaji ndo wajue kuwa akina Maradona,Pele na wachezaji waliowika zamani walikuwa majembe.
 
....umeamua kuhama timu? Brazil wakizingua unahamia timu gani tena? Brazil hawana kikosi cha ushindi. Mimi sijaona game hata moja ya hata mashindano. Ila uniambii kitu Mimi na Argentina, Argentina na Mimi.

Hahahaha!!! Sijahama bana Argentina nawalove Brazil nawalike......kwenye Hili kombe timu zangu nilizoweka utabir ni mbili Arg na Brz
 
CHqo0nzWEAAHbt8.jpg

2 games, 0 assists, 0 goal...oops my bad, 1 goal. I thought i heard somebody saying penalties don't count, was it you Herrera? Haha, anyway, i thought "a player off this planet" should be on a double stats by now, no??​

CHsfv9YXAAAh0av.jpg

'Dude, ain't you supposed to be an alien or something??'​

hahahaaa, penalt dont count?? you know what?? artulo vidal now has more goals + assist in copa america than the Allien (player from another galaxy a.k.a supernova)
much respect to AD7 for diving, otherwise 2 games 0 goal + 0 assist

Hapana my dear natofautiana na wewe kabisa Messi amecheza vizuri tu basi tu hajabahatika kupata goli lake pamoja na kubanwa sana na kukamiwa mno lakini bado anajitahidi kuwatoka opponents anafanyiwa faulo nyingi mpaka naogopa asije rudi majeruhi Barca ,tukiangalia goli la kwanza la Aguero katika mechi ya kwanza ngoma ilianzia kwake kawatoka watu fresh akabanwa Aguero km kawaida kimshale kikachomoka kilikokuwa kikafanya mambo, hata goli LA jana amsha amsha ilianzia kwake,analeta uhai mkubwa kwenye timu yake...kwa kweli bado ni maestro tu maana kwa jinsi wanavyomkamia si mchezo, Ila mtu mmoja hawezi kubadilisha mambo yote peke yake, tatizo bado la Argentina kwa hizi mechi 2 ni kwenye finishing nafasi nyingi sana wanapoteza.
 
Haha wala usiumize kichwa sana kunielezea uwezo wa hako kajamaa, nautambua vizuri sana, ila napenda kuka-troll tu since ni mpinzani wangu kwenye club, na kwenye Internationals. Hata kakifunga kila game, ntatafuta tu namna nikazingue. Ni burudani tu, wala sina tatizo nako.
 
Colombia is going down tonight.....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Haha wala usiumize kichwa sana kunielezea uwezo wa hako kajamaa, nautambua vizuri sana, ila napenda kuka-troll tu since ni mpinzani wangu kwenye club, na kwenye Internationals. Hata kakifunga kila game, ntatafuta tu namna nikazingue. Ni burudani tu, wala sina tatizo nako.

Hahaha!!! Haya bana hata nami najua umeandika kiuchokozi zaidi ,tatizo unasomwa na maelfu ya watu wengine ndo hivyo walishalimeza zima zima halafu ukizingatia limesemwa na staa wa sport JF anayeiwakilisha RM vilivyo huwa ni vyanzo vinavyoaminika, au unafikiri position yako ni ndogo humu eeh?
 
Siipendi brazil ila ngoja nimsapoti dani alves na Neymar
 
Hahaha!!! Haya bana hata nami najua umeandika kiuchokozi zaidi ,tatizo unasomwa na maelfu ya watu wengine ndo hivyo walishalimeza zima zima halafu ukizingatia limesemwa na staa wa sport JF anayeiwakilisha RM vilivyo huwa ni vyanzo vinavyoaminika, au unafikiri position yako ni ndogo humu eeh?

Hahahaha staa wa wapi? haya bana, what a troll!
 
BRASIL XI - Jefferson; Dani Alves; Thiago
Silva, Miranda, Filipe Luís; Fernandinho,
Elias; Willian, Fred; Roberto Firmino,
Neymar.
 
Mie niko hapa nimekaa mkao wa kula kufuatilia mchapo huu, natumai itakuwa mechi bomba na waamuzi hawatafanya ujinga wao wa kufanya maamuzi kwa pande zote mbili ambayo hayahusu kitu....#TeamBrazil.

Hii itakuwa game Kali sana, Colombia akifungwa leo anaweza kutoka. Na pia wanalalamika kwamba ile game ya robo fainali kwenye world cup, Brazil walicheza dirty, esp kwa James (they have a point there) na ref aliwabeba. Hapatoshi leo
 
Enjoy the game Mkuu.

Back
Top Bottom