Kun Aguero ni shida...
Hiki kimtu nakipenda sana kwenye kumalizia mipira kama ile...
Mhhhhhh!
Yaani hapa kuna mechi kibao...
Huku Bein ni Argentina na Uruguay...
Fox ni World Cup finals za wamama...
abc nako finals za NBA...
Hapa inabidi wamama niwapige chini...waliobaki watazamwe kwa kupokezana
Yaani hapa kuna mechi kibao...
Huku Bein ni Argentina na Uruguay...
Fox ni World Cup finals za wamama...
abc nako finals za NBA...
Hapa inabidi wamama niwapige chini...waliobaki watazamwe kwa kupokezana
Ukihama huku na kule hata uhondo unaokosa, mie ngoja "nitulie" kwenye US Vs Nigeria na game 6 ya NBA Finals.