USA walikuja na mkakati wa kupata goli haraka haraka lakini ngome ya Nigeria na kipa wao wanajitahidi sana kuhimili vishindo toka USA sijui kama wataweza kufika HT kabla nyavu zao hazijatikiswa.
Wanajitahidi sana kusema kweli, maana naona USA walikuja na kapu la kuzoa magoli watakuwa very frustrated kama mpaka HT watakuwa 0-0
Kismati wa magoli Agrueroooooooo