Naona sasahivi umekuwa mpana sana nitakodi matarumbeta sasa😀😀😀..... Iam Red....michepuko ruksa..... Nalipenda soka la Hispania na Italy ndo maana utaniona nazurura huko.........
Na michepuko inaweza ikapendwa zaidi, hivyo nisishangae kuona #TeamBARCA au #TeamArgentina zinapewa vipaumbele kuliko #TeamMANU na #TeamBrazil, si ndiyo? au nimekosea?
Msituumizie mtoto wa jirani yetu wababe wa EPL 014|015.....Cuadrado
Hhahahh!!! Usinishike ugoni best yangu....tunachepuka kupata faraja hasa pale njia kuu inaposhindwa kukupatia kitu roho inapenda........... Usinihukumu hapa tafadhali na ukatafuta sbb zako...lol
Cuadrado yuko vizuri sana, alitakiwa kubaki Italy au kuja Liga ndio kipaji chake kionekane vizuri.
Ni kweli anajitahidi sana.... Hapa dear umeipondea EPL yetu kiaina hahahhah....
Haya naomba sana kwenye hii COPA America Brazil wakipige na Argentina na kwenye UEFA msimu ujao BARCA wapangwe na MANU kundi moja. Mie wala sitatia neno nitakuangalia tu LOL!
Yaani huku ndo ombi langu fainal iwe ni kati ya Brazil na Argentina........ pierre tall huu ndo utabir wangu.
Manu na Barca subiri tufanye usajili nitakujibu.... Japokuwa ni mchepuko wangu lakini Nina hasira nao acha tu,nadhani mim ni miongoni mwa MU fans wachache sana wanaoipenda Barca.