Special Thread, COPA America 2015

Special Thread, COPA America 2015

Tutakuwa pamoja, leo sijacheki ratiba naomba ratiba nani na nani?

Mechi ya pili ya kundi A

Mexico vs Bolivia

Itakuwa ni saa 0230am (saa 8 unusu usiku kwa majira ya Tanzania)...

Ukifanikiwa kutazama utaweza kuliona jembe la zamani la Barca Rafael Marques akimalizia malizia mpira wake katika timu yake ya taifa ya Mexico...
 
Asante sana leo nitajitahidi nimtoroke nyambala ........naona wengi wanaisifia Mexico ngoja nione uzuri wao......
 
Asante sana leo nitajitahidi nimtoroke nyambala ........naona wengi wanaisifia Mexico ngoja nione uzuri wao......

Sikujua kama waijua hii lugha...

Mexico sio wazuri sana maana timu yao ina wachezaji wengi vijana na wapya...

Nimewaona mechi zao mbili za mwisho za kirafiki sijaona wakicheza vizuri sana...

Labda uwepo wa Chicharito leo hii utaleta utofauti maana mechi za kirafiki hakuwa akicheza...
 
Nina asili ya huko pia.....

Kumbe!! Basi ngoja tuone kama ataleta mabadiliko, ikifika saa 8 na nusu niite kwa sauti kubwa mpaka niitike.
 
Nina asili ya huko pia.....

Kumbe!! Basi ngoja tuone kama ataleta mabadiliko, ikifika saa 8 na nusu niite kwa sauti kubwa mpaka niitike.

Hahah haya usijali...

Nipo natazama kombe la dunia la kina mama...

Nigeria anakipiga na Australia sasa...
 
....ikifika saa 8 na nusu niite kwa sauti kubwa mpaka niitike.
everlenk muda wa kipute umekaribia...

Zimebaki dakika 5 kabla ya mtanange kuanza...
Nyimbo za taifa ndio zinapigwa sasa...
 
Last edited by a moderator:
copa-america-mexico-vs-bolivia-9-12062015_1k7ew4kw119es1xz4dtca9cpnv.jpg

copa-america-mexico-vs-bolivia-7-12062015_f8tow7s9knvz1qbuyk4yx3eds.jpg

copa-america-mexico-vs-bolivia-8-12062015_1qtl0a1tnkngf1pytbos5rvgha.jpg

mexico-v-bolivia-copa-america-12062015_1h05hzfunsmcb1oaxquuf7ec46.jpg

copa-america-p1-mexico-vs-bolivia-2_4tl0h87f9vch10d7dy1c0d9ic.jpg

miguel-herrera_189q4p5tjc54v118jqllqel3ss.jpg

CHWIfHiXAAAgNqm.jpg
 
Back
Top Bottom