Special thread clinical officer 2018/2019

Special thread clinical officer 2018/2019

CO siku hizi imekaza mno.. sio siri mnaojiandaa kwenda huko mkapambane maana naona madogo supp km maji hivi..hasa hasa nta level 5 ndo pagumu zaid. Kila la heri Maafisa Tabibu
 
Nashauri mkasome diploma za mionzi (diagnostic) na maabara

Hizi ni rahisi kupata michongo mjini hapa kuliko maCO ambao kwanza wapo wengi na kaka zao MD wapo wengi pia na wanafanya kasi hadi kwa laki sita saba

Ukiwa radiographer unaweza kuwa na vijiwe hata vitatu kote unakula pesa

Tusifuate mkumbo tu was kuitwa daktari,tuangalie wapi soko linatupeleka
Umeongea vizuri mkuu, wanaweza pia kucheki prosthetics and orthotics ile kozi ya viungo bandia
 
Kila la heri ila ukumbuke kiwango cha chini cha ufaulu wa kusomea digrii ya udaktari ni Physics D, Chemistry C na Biology C!! Kwa A level C inaanzia marks 60 hadi 69 na D inaanzia marks 50 hadi 59! Mwulize mwanafunzi aliyeko A level akueleze wepesi au ugumu wa kufikisha marks hizo!! Wengi waliokuwa na one au two zao za O level huishia D mbili na S moja kisha hurudi kugombania u CO baada ya kupoteza miaka 2 ya A level!
Sikutishi ila nakupa hali halisi ili ujipange vizuri na uamue kusuka au kunyoa!!
Kweli kabisa, hayo ndio yaliyonikuta mimi mwenzenu.
 
Sorry wadau waliopitia elimu ya ngazi hii ya diploma ya clinical medicine ni changamoto zipi walipata hasa kimasomo na ni courses zipi zinaonekana ngumu huko ili tujipange kukabiliana nazo
 
hakuna bata uzingua unarudi kwenu semista one kuna masomo nane semista ya pili masomo sita mwaka wa pili yanakua matano kwahyo yanapungua ila mziki pale pale sikutushii ila ndo ukweli kwa mfano ukienda semista ya kwanza kuna microbiology, parasitology and entomology, epidemiology, biostatistics ana emergency , communication skills , resource management and entrepreneur , clinical nutrition, medical ethics , anatomy and physiology nadhani izo modules kama cjakosea
 
Kuna possible ya kuhamia hapo Kibaha sem 2?
 
Mimi pia nampango wa kuomba mwaka huu ila nilisoma community health ya mwaka mmoja pare singida chuo cha maabara
 
Vp kazi zipo kwasababu me nipo kilosa cotc namaliza mwaka huu
Mi mpaka kupata wazo la kubadil koz kaz hakuna ndug toka nmemaliza 2016 mpka leooo Chws ni coz ya hovyo najuta hata kwanin nilipoteza muda wangu
 
Kila la heri ila ukumbuke kiwango cha chini cha ufaulu wa kusomea digrii ya udaktari ni Physics D, Chemistry C na Biology C!! Kwa A level C inaanzia marks 60 hadi 69 na D inaanzia marks 50 hadi 59! Mwulize mwanafunzi aliyeko A level akueleze wepesi au ugumu wa kufikisha marks hizo!! Wengi waliokuwa na one au two zao za O level huishia D mbili na S moja kisha hurudi kugombania u CO baada ya kupoteza miaka 2 ya A level!
Sikutishi ila nakupa hali halisi ili ujipange vizuri na uamue kusuka au kunyoa!!
Mkuuu umeongea ukweli kabisa unaweza ukajiona umetok o leval uko nondo vibays mno ila huo mlima aiseee uache tu tulio na experience tunaujua huu mziki ila kama unapenda kuonja sio mbaya unaweza ukaonja hata sumu ili badae unywe maziwa matamu kuondoa sumu Kali ulioionja ila njia sahihi ni shortcut
 
Ukiamua kupambana inawezekana! Sahau ufaulu wa O-level! Kuna wenye three za O-level huibuka na one za A-level na wenye one za O-level huambulia three na wengine four za A-level! Kupambana ndo mpango mzima na usikivu na nidhamu na heshima kwa waalimu wako!
Mkuu kunawatu wanapambana sio kitoto tuna experience na hili ila mwisho wa siku mambo hua sio mambo mziki wa advance kwa miaka hii ya magufuli sio wakitoto lazima ugeuke Newton usahau hadi kuchamba unakunya huku unakula pindi chooni sio mchezo wajomba nendeni mkaonje sumu afu mje mrudi kunywa maziwa
 
Back
Top Bottom