Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,134
- 664
Updates please!
Tanganyika tungekuwa na washambuliaji makini hii mechi ilikuwa yetu.
Tanganyika tungekuwa na washambuliaji makini hii mechi ilikuwa yetu.
Wewe huna macho.Kwani betream (mombeki) mberwa aka mshambuliaji msomi hayumo
Hahahahahahahahahahahah!Mkuu mimi sasa hivi nimehamia kwenye kilimo cha pili pili kichaa, nataka zikiiva niponde ponde halafu naweka kwenye maji naenda kumnywesha Msomali na chai ya Tangawizi kali.
Ngoja nimpigie manji.Ivo Mapunda ni bonge la golikipa....anajua sana kucheza na mipira ya krosi
Wewe huna macho.
Ngoja nimpigie manji.
Dah! Ngoja niendelee kupata updates hapahapa tu.So far hakuna link mkuu....SS9 wanafanya streaming ila nahisi ni hadi ulipie...