Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Hahahahahaha.
Mkuu ya Rage ni mavi ya kale ambayosasa hayanuki,kuna jingine pale msimbazi la usajiri wa Yaw Berko hujalipata hilo?
Chezeya msomali weye eeeh!

ohoo.., hyo nmeickia mkuu, hivi amepona bega au?
 
Nasikia alipigwa misumari,sasa ameichomoa na yuko safi sasa,atatua kesho kwa kenya airways!
Cc Masuke
Mkuu mimi sasa hivi nimehamia kwenye kilimo cha pili pili kichaa, nataka zikiiva niponde ponde halafu naweka kwenye maji naenda kumnywesha Msomali na chai ya Tangawizi kali.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mimi sasa hivi
nimehamia kwenye kilimo cha pili pili kichaa, nataka zikiiva niponde
ponde halafu naweka kwenye maji naenda kumnywesha Msomali na chai ya
Tangawizi kali.

msomali bhana! yan karud kuja kufanya yake, alafu kajirudia zake ulaya!
 
Dk 75

Tanzania Bara 1 - 1 Zambia
 
Tanganyika tungekuwa na washambuliaji makini hii mechi ilikuwa yetu.
 
Back
Top Bottom