WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Dk 4
Ethiopia 1 - 0 Zanzibar
Ethiopia ni wazuri sana,zanzibar wanatakiwa kuwa makini sana vinginvyo wataambulia kivhapo!!
Dk 4
Ethiopia 1 - 0 Zanzibar
Yap.Mkuu watu8 huu ndio uzuri wa jf,leo siko kwenye kideo lakini naamini kwamba nitashuhudia kila kitu,jitahidi sana kushusha matokeo.
Rekebisha muda mkuu...
Anajisahau sana...sijui kala urojo huyu....
Nadhani anaitwa Salum Bakar huyo...
Tupo pamoja mkuu...
Ila Zanzibar wamepwaya sana na wasipokuwa makini tutaweza kuzungumza lugha nyingine mwishoni...
Ethiopia ni wazuri kulikonhata Kilimanjaro Stars,na katika mechi hii zanzibar ni kupata ushindi ni asilimia 5,kutoka sare ni asilimia 15 zinazobaki ni kufungwa!