So far wana viwanja viwili tu vizuri na vyote vipo Nairobi, kimoja ni kile Nyayo na kingine kile cha Kasarani kilichopo kule Loisambu...
goool, zambia wanapata goli, haraka ya mapunda kuanzisha mpira!
goool, zambia wanapata goli, haraka ya mapunda kuanzisha mpira!
Ila Ivo katulia.
watakuambia wanajenga barabara...
Gooooooooooooooooooooo.
Zambia1-1Tanzania.