Mpira umeishaaaa
Tanzania Bara 1 - 1 Zambia
Samahani mkuu, Mwombeki hata hajaitwa kabisa.Nimeuliza tu kaka sipi luningani mkuu
Mkuu huo uwanja ni wa rugby nadhani...imekuwa ngumu kwa timu zote kucheza uzuri...
Munaoitazama hii mechi muna faidi kwel.Mechi ya pili leo
Dak 25
Uganda 0 - 0 Rwanda
Mkuu naona na ninyi mmeamua kuibomoa yanga,nasikia mmemsajiri kipa wetu wa zamani Yaw Berko.
Match Day 4
Ethiopia vs Zanzibar
Timu zimeshaingia uwanjani, zimekaguliwa na sasa makapteni wanarusha sarafu.
Mechi hii inachezwa katika uwanja wa Nyayo jijini Nairobi.
Hali ya uwanja ni nzuri, ikichagizwa na hali ya hewa ya kibaridi kwa mbali.
Wakati wowote kipute hiki kitaanza...