Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Man blame it all on the weather,had u seen Machakos stadium b4 the rains began,the playing surface was just sweet.about the Fifa rankings kenya-117,Tz-124,What's your point

You poor guy, is that your analysis? What a bad day to involve this junior member in a discussion special for great thinkers only!
 
Mambo ya bad signal tena, hatujapata goli la pili huko jamani?
 
Mpira umesimama dk. 89 kutokana na hali mbaya ya hewa. Tunasubiri maamuzi ya nini cha kufanya.

Haya mashindano sijui kwa nini yalipangwa Kenya...yamekuwa ya kiwango cha chini mno
 
Haya Mashindano kuna haja ya kubadilishwa na kuwa yanachezwa mwezi wa saba au wa nane, maana mwaka jana hali ilikuwa hivi hivi nchini Uganda, nchi nyingi viwanja ni vibovu, mvua kidogo hali inabadilika.
 
watangaji wa tbc wallisema kwamba bomu la machozi lilipuka kwa bahati mbaya hivyo mpira kusimama
 
You poor guy, is that your analysis? What a bad day to involve this junior member in a discussion special for great thinkers only!

Man,u r degenarating into an emotional demogogue,u r a man,feelings peleka mbali..calling me a junior member doesn't intimadate me,it's what i am.......it's high time u embrace a value free analysis which is more objective and full of intellectual discourse
 
Match resumed..sasa twasubiri penalties
 
Back
Top Bottom