ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
sioni kitu hapa..Refa anawabeba wenyeji nyambafu!
sioni kitu hapa..Refa anawabeba wenyeji nyambafu!
Ngoja tusubiri hadi mwisho wa dakika 90 tuone mambo yatakuwaje.sioni pakutokea kwani baada ya kuforce mbele wao wanarudisha nyuma..
TBCCCM imetuwekea Bunge na King'amuzi silipii maka Uongozi wa TAA NEEEEH SCOOOP inihakikishie kuwa No MGAWO!
Ungekua, lakini huwezi kua.Kama ningekua Polsen ningemtoa Amri Kiemba faster na kumuingiza Chanongo ili tukimbize.Kisha kipindi cha pili ningemtoa H.Dilunga na kumuingiza Chuji.
ivo mapunda anataka kutuhujumu
ivo mapunda anataka kutuhujumu
una akili sana..Kama ningekua Polsen ningemtoa Amri Kiemba faster na kumuingiza Chanongo ili tukimbize.Kisha kipindi cha pili ningemtoa H.Dilunga na kumuingiza Chuji.
mbona kenya wanapatia iwe sie tuu..uwanja mbaaayaaaa mpaka wachezaji wanakosa ball control...........