Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Kama ningekua Polsen ningemtoa Amri Kiemba faster na kumuingiza Chanongo ili tukimbize.Kisha kipindi cha pili ningemtoa H.Dilunga na kumuingiza Chuji.
Mkuu uwanja ni mbovu hakuna cha kukimbiza, tazama Ngasa na Samatta ni wakimbizaji wazuri lakini leo sijaona chochote, uwanja unateleza sana walitakiwa kuwa na viatu ambavyo all weather.
 
Tatizo la timu yetu majikupwa maji kujaa,haitabiliki
 
ulimwengu kagongesha mwamba! kama lingekuwa goli lile, lingekuwa miongoni mwa magoli bora ya michuano hii...
 
Back
Top Bottom