sioni pakutokea kwani baada ya kuforce mbele wao wanarudisha nyuma..Hawa jamaa naona wametukamata sana, sijui kama tutachomoka hapa.
Hawa jamaa naona wametukamata sana, sijui kama tutachomoka hapa.
acha tu dizaini wamepanga hii gemu enhee..
endelea tu kutupa muda..Dk 25
Kili 0 - 1 Kenya
hii sio staz nayo ijua babu yani kama wamebemendwa bwana..Siyo kweli game haijapangwa, tupige boli tu, hawa ni wetu.