Sangomwile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 3,227
- 1,104
Game imeanza,go Tz go go.
tukielekea kuanza na tabir tz 3-1ky
Tushachapwa goli la kwanza...
Pamoja!Ndio yeye kaka...
tushachapwa goli la kwanza...
Kenya 1
Ule mpira Ivo hajatema, utakuwa umeteleza maana angetema lazima ungerudi mbali kwa jinsi shuti lilivyopigwa.mkuu, kama ivo akiendelea kutema mipira, itatughalimu, kwn kenya inaonekana wanajarbu sana mashuti.