Taarifa tulizo nazo hadi sasa ni kwamba itachezwa saa 12 jioni jijini Nairobi uwanja wa Nyayo, uwanja wa Kenyatta ulioko Machakos umejaa maji. Ingawa kulikuwa na mabishano kati ya katibu mkuu wa CECAFA na mwenyekiti wa Federation ya Kenya, mwenyekiti wa Federation ya Kenya alitaka maji yatolewa na game ipigwe hapo hapo Machakos lakini katibu wa CECAFA ndo aliyeamua ihamishiwe Nairobi.
Bora wasawazishe ikibidi wapate na lingine.Sudani wasawazisha Zambia 1~1 Sudan
Bora wasawazishe ikibidi wapate na lingine.
Sud2-1Zam