Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

'120: Zambia 1 - 2 Sudan (Extra-Time)
['110 Ronald Kampamba, '114, '118 Salah Ibrahim]
Sudan qualifies for the finals
 
Game ya stas saa ngap wakuu?

Mkuu hii mechi hata haieleweki, kuna vyanzo vingine vinasema saa 12, vingine saa 12:30 na vingine saa moja, ila huenda kile cha saa moja kiko sahihi maana ni supersport, na hivyo vingine ni blog za michezo za hapa hapa nchini.
 
Game ta Tanzania na Kenya inapaswa kuanza saa 1 jioni kwa hio iko mbioni...
 
mkuu hii mechi hata haieleweki, kuna vyanzo vingine vinasema saa 12, vingine saa 12:30 na vingine saa moja, ila huenda kile cha saa moja kiko sahihi maana ni supersport, na hivyo vingine ni blog za michezo za hapa hapa nchini.

asante mkuu, ngoja niwe na subira. Pamoja sana.
 
Pongezi nyingi sana kwa Sudan,kwa mara ya kwanza wameonyesha ushindani wa hali ya juu! Big up Sudan,keep up for final,but remember Kili stars is coming!
 
Mkuu hii mechi hata haieleweki, kuna vyanzo vingine vinasema saa 12, vingine saa 12:30 na vingine saa moja, ila huenda kile cha saa moja kiko sahihi maana ni supersport, na hivyo vingine ni blog za michezo za hapa hapa nchini.

Mechi ni saa moja kwa mujibu wa tweets za GoTV ambao ndio wadhamini wakuu wa tournaments...
 
Game ya stas saa ngap wakuu?

558092_639813259408514_949774912_n.jpg
 
Kikosi cha Kili Stars kinatarajiwa kuwa kama ifuatavyo...
Ivo Mapunda
Kevin Yondani
Erasto Nyoni
Pius Aidan
Said Morad
Frank Domayo
Dilunga Hassan
Amri Kiemba
Mbwana Samata
Thomas Ulimwengu
Mrisho Ngasa
 
Kenya Vs Tanzania
National Anthems on now....at Nyayo stadium
 
Back
Top Bottom