Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Uganda wanapata freekick katika edge ya boksi la 18...

Ni hatari sana kwa Stars....

Mapunda anajirusha kama nyani na kuutoa mpira uliopigwa na Okwi...kona

Mapunda anaokoa kona na kufanya kazi ya ziada...kazi nzuri ya Ivo.

Ngapi ngapi mkuu
 
Ahsante mkuu, niamini tu kwamba imenipita. Ngoja niisikilize radio tanzania iliyobadilishwa jina.
 
Mkuu UBC ya Uganda wapo hewani...hivi visimbusi vya TZ kwani havina hii stesheni?
Wakati wanaanza walikuwa nayo pamoja na KBC1, na zilikuwa zinaonyesha ligi ya mabingwa ulaya, nadhan DSTV waliweka kauzibe zikaondolewa zote.
 
Dk 62

Uganda 1 - 2 Kili Stars
 
Wakati wanaanza walikuwa nayo pamoja na KBC1, na zilikuwa zinaonyesha ligi ya mabingwa ulaya, nadhan DSTV waliweka kauzibe zikaondolewa zote.

So far kisimbusi cha Easy TV kinaonesha kupitia UBC...
 
Mungu Ibariki Tanzania tushinde mechi hii. Uganda uwa wanatuonea sana hao.

Tiba
 
Kili Stars wanakaribisha sana mashambulizi....wanapaki sana basi
 
Back
Top Bottom